Matthew 27:12-14

12 aLakini viongozi wa makuhani na wazee walipomshtaki, hakujibu neno. 13 bNdipo Pilato akamuuliza, “Je, husikii ni mambo mangapi wanayokushtaki nayo?” 14 cLakini Isa hakumjibu hata kwa shtaka moja, kiasi kwamba mtawala alishangaa sana.

Copyright information for SwhKC